Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Sunday, May 19, 2013

SOMA HAPA ALICHOKIONGEA HALIMA MDEE KUHUSU USAGAJI.

Kuhusiana na suala la kuwa mheshimiwa Halima Mdee Mbunge wa jimbo la kawe kutuhumiwa kwamba yeye ni msagaji na npaka kusemekana kwamba yeye na Bulaya Mbunge mwenzake kwamba ni wapenzi.
Mheshimiwa alifunguka maneno hayo katika kipindi cha redio moja maarufu hapa nchini na kusema yafuatayo.
aah unajua huwezi kuzuia watu kusema, na mimi huwa sihangaiki na watu wanasema nini, lakini ukitaka kumjua Halima unaweza ukamchunguza kirahisi sana, kwa kumuangalia alipotoka, historia yake na mahusiano yake, ambayo mengine ni wazi sana watu walikuwa wanayajua, 

watu wanapenda ku speculate pale ambapo wanaona kitu ambacho hawati  kuona, sasa hilo swala lilishaandikwa sana, nadhani walioandika baadae wakaja kuomba radhi kwasababu waligundua wameandika kitu kisicho sahihi, probably kutokana na sauti yangu you know, probably kutokana na tembea yangu, kwasababu mimi nimekulia kwenye familia ya wanaume watupu umeona eeh, mimi nimekuwa ni mpambanaji tokea utotoni, kwasababu nimezungukwa na jeshi la kibabe, thats who iam, lakini mtu anaetaka kumjua Halima na ana uhuru tu, hata akitaka niwatajie list ya watu wangu i can do that, lakini sidhani kama is their damn business, cause ma life is personal, na wakitaka kuchunguza wachunguze kwa mpango wao na watapata taarifa, kwa uhuru tu, na wanaweza wakatoa tangazo kwamba jamani watu waliowahi kuwa na uhusiano na huyu if any wajitokeze, watajitokeza kama wapo upande huo, watajitokeza kwasababu sasa hivi si dunia huru bana ......

No comments:

Post a Comment