Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Thursday, June 6, 2013

VIWANGO FIFA TANZANIA YAPANDA NAFASI 7 SASA NI YA 109.

Mambo si mazuri kwa Kenya ambao wameshuka kwa nafasi moja na kukamata nafasi ya
123 huku Uganda ikikamata nafasi ya 93 baada ya kushuka kwa nafasi mbili.
Kwa upande wa nafasi za juu, nafasi za tatu zinaendelewa kushikiliwa na Ujerumani (1), Argentina (2) na Croatia (3).
Nafasi ya mwisho (207) imekamatwa na visiwa vya Turks na Caicos.

No comments:

Post a Comment