Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Thursday, May 23, 2013

BUNGE LAAHIRISHWA TENA.

Katika hali isiyo ya kawaida leo kwa mara ya pili Spika wa bunge ameahirisha tena bunge.Hii ni kwa sababu ya fuo zilizotokea
huko Mtwara jana.Spika wa bunge amefijia uamauzi huo baada ya kuitaka kamati ya bunge ili ije na kauli kuhusu fujo ziznzoendelea huko Mtwara.Pia bajeti ya makadirio na mapato na matumizi  ya nishati na madini nayo imesitishwa mpaka swala hili litakapopatiwa ufumbuzi.Pia ameahirisha bunge kutokana na kwamba wabunge wanaweza kuonge lugha za kichochezi kuhusiana na swala la gesi Mtwara.

No comments:

Post a Comment