Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda leo anaweka jiwe la msingi la kiwanda kikubwa kuliko
vyote Afrika Mashariki na kati cha kuzalisha saruji cha Dangote Mkoani Mtwara ambapo amesema makampuni 45 tayari yameomba kuwekeza viwanda mkoani humo baada ya ugunduzi wa kiasi kikubwa cha gesi asilia kwenye bahari kuu kusini mwa Tanzania.
CHANZO ITV
No comments:
Post a Comment