wajumbe wakiwa kwenye mkutano wanamsikiliza mwenyekiti wao wa chama Jakaya Mrisho Kikwete.
Mh Mwiguru Nchemba akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali
Vuai na Katibu wa NEC Oganaizesheni Dk. Muhammed Seif Khatib kwenye
kikao hicho.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili ukumbini
wakati wa kikao chake na wabunge wa CCM, leo Mei 19, 2013, katika ukumbi
wa jengo la White House, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma
Mheshimiwa Rage Akiwa na Dk.Nchimbi wakiteta jambo.Rage ni mwenyekiti wa simba ambayo jana ilifungwa goli mbili bila majibu na timu Ya Yanga Hasimu wao mkubwa.
No comments:
Post a Comment