Wananchi Mkoa wa kagera kupitia serikali wamembiwa kuwa macho na mtu yeyeote wasiyemjua kutokana
na tishio kwamba Kikosi cha waasi cha M23 kinaweza kuvamia mda wowote katika mkoa huo.
Waasi hao wametishia kuivamia Tanzania muda wowote ili kulipiza kisasi.Miongoni mwa mipaka ambayo iko wazi ni Kagera, na hii ndo sababu iliyopelekea serikali ya Mkoa huo kutoa tahadhari kwa wananchi wake na watanzania kwa ujumla.
No comments:
Post a Comment