Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Monday, July 8, 2013

VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JULY 9


HEBU CHEKI HIYO AJALI YA NDENGE MDAU WANGU

Ajali mbalimbali zimeendelea kutoka dunia hii ni Ajali ya ndege kutoka Asia kuelekea San Fransisco amabpo inasemekana katika Ajali hiyo vijana wawili wakichinma walipoteza maosha na Abiria 182 kujeluiwa Bfyya lnk hapo chini kucheki video hiyo.
http://online.wsj.com/article/SB10001424127887323823004578591422758092016.html?mod=world_newsreel#

WANAWAKE WAWILI KUTOKA TANZANIA WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO SOUTH AFRIKA TAZAMA VIDEO YAKE HAPA.









BAADA YA KESI YAKE KUAHILISHWA LWAKATARE ASEMA HAYA


KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK AMESEMA KWAMBA "Nimshukuru Mungu kwa siku njema ya leo na kwa ajili ya watanzania wote.
Leo ikiwa ni siku ya case yangu kusikilizwa Mahakama ya Mkazi Kisutu, nimereport pamoja na makamanda walionisindikiza. Case imehairishwa mpaka tarehe 22 July 2013.
Pamoja na hayo,mshitakiwa no.2 Ludovick Joseph ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokukamilika kwa nyaraka za dhamana,hata hivyo dhamana yake iko wazi.
Tukiwa nje ya mahakama,kijana Ludovick ameonekana kuwa mnyonge na kulia sana akilalamika kutojishughulisha kwa ndugu zake(ambao hawakufika mahakamani) kufuatilia dhamana yake.
Nawatakia kazi njema na tusichoke kulitumikia taifa.
Peopleeeeeeeeeeees!"

Thursday, July 4, 2013

MDAU:HAPPY BIRTHDAY FARID FAROUK

                                TUNAKUTAKIA MAISHA MEMA NA YENYE BARAKA TELE.

MAGAZETI YA LEO JULY 4


PICHA:WAFUNGWA WANAVYOTESEKA GEREZANI

Hawa ni wafungwa huko nchini NIGERIA wakiwa Gerezani amabapo wamekuwa wakiishi kwa msongamano mkubwa sana huku wakilala kwa style ya aina yake.


BAADA YA RAIS MORSI KUPINDULIWA RAIS MPYA WA MPITO KUAPISHWA LEO

Jaji mkuu wa mahakama ya kikatiba nchini Misri Adli Mansour anatarajiwa kuapishwa kama rais wa mpito wa nchi hiyo baada ya jeshi kumng'oa madarakani rais Mohammed Morsi, ambaye ni kiongozi wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia nchini humo.Mkuu wa jeshi Generali Abdul Fattah al-Sisi alitoa tangaza hilo kupitia televisheini Jumatano jioni, katika kile Morsi, alisema

Wednesday, July 3, 2013

RIHANNA NA PICHA ZA UCHI SASA NI VIDEO YAKE


Baada ya Mwanadada RIHANNA kuwa na tabia ya kuweka picha za uvhi mtandaoni sasa Mwanadada huyo ameamua kutoa video yake hebu icheki hapao chini kwa kubofya link hapo chini mdau wangu
http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=Y_zTy6icegU

WAPONA UKIMWI BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI

Wagonjwa wawili wameondolewa bughdha ya kutumia madawa ya kupunguza makali ya ukimwi maishani mwao baada ya kufanyiwa upasuaji na kupandikiziwa uboho wan binadamu au (Bone marrow), hatua inayosemekana kuondoa virusi vya HIV mwilini mwao.
Mgonjwa mmoja amesemekana kukaa kwa miezi minne bila ya kutumia madawa ya kupunguza makali ya ukimwi bila ya dalili ya kurejea kwa uogonjwa huo.

Matokeo ya utafiti huo yaliwasilishwa katika mkutano wa kimataifa kuhusu maswala ya Ukimwi.Madaktai waliofanya utafiti huo katika hospitali ya matibabu kwa wanawake ya Brigham nchini Marekani, wanasema ni

MISRI KWA FUKUTA RAIS MORSI SASA YAWEZEKANA AKAPINDULIWA

Hali ya taharuki imetanda Misri huku makataa iliyotolewa na jeshi kwa rais wa nchi hiyo Mohammed Mosri ikikaribia kufika ukingoni.
Kuna taarifa za kutofautiana kuhusu ikiwa jeshi litatoa taarifa punde baada ya muda huo wa masaa 48 aliopewa rais Morsi kutafuta suluhu ya mgogoro huo kutimia.
Maafisa wakuu wa serikali wako kwenye mkutano wa dharura nchini Misri, saa chache kabla ya muda wa mwisho ambao jeshi na upinzani zilimpa rais wa nchi hiyo Mohammed Morsi

PICHA ZA MATUKIO KATIKA AJALI YA BUS LA SAIBABA MKOANI PWANI WAKATI LINATOKA DAR ES SALAAM KUELEKEA SONGEA


LULU AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA TANGU ATOKE JELA

Kwa mara ya kwanza muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu jana alifanya interview ya kwanza tangu atoke gerezani January mwaka huu. 
Lulu aliye na muonekano wa ‘udada’ zaidi alihojiwa jana kwenye kipindi cha

MSANII MAARUFU BONGO MOVIE ABAKWA

Kuna habari  mbaya  ambazo  zilianza  kusambaa  mtandaoni  jana.Habari  hizo  zinazomhusu  msanii  maarufu  wa  bongo  movie  ambaye  anadaiwa  kubakwa  (Mtungo ) na  wanaume  kadhaa.

Habari  hizo  zinadai  kuwa,

ALIYOYASEMA BARACK OBAMA AKIWA UBUNGO

President Barack Obama wa Marekani tayari amemaliza ziara yake ya siku mbili Tanzania ambapo sehemu ya mwisho kuitembelea ilikua Ubungo Dar es salaam ambako aliidhinisha mpango wa serikali yake wa dola

Tuesday, July 2, 2013

MAGAZETI YA LEO JULY 3 2013


MAUAJI YA DAUDI MWANGOSI WATUHUMIWA WAACHIWA HURU



MAHAKAMA ya Wilaya ya Mufindi imetupilia mbali mashtaka  yaliyokuwa yakiwakabili Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Hamad Yusuph na wenzake 42.

Kiongozi huyo pamoja na wenzake walikuwa wakikabiliwa na makosa matatu likiwemo la