Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Wednesday, June 12, 2013

KUTOKA BUKOBA MWANAMKE APOTEZA NYETI ZAKE:

Mwanamke huyu akiwa hajielewi kabisa kwa kile kilichomtokea baada ya kula uroda na mme wa mtu katika nyumba ya kulala wageni ya SUPER STAR iliyoko Hamgembe mjini Bukoba.Mwanamke huyo alitoweka na pesa za Mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma.Baada ya muda mama huyu

 alijikuta baada ya umati kuwa mkubwa police walifika maeneo ya tukio na kumchukua huyo mama,tunafanya jitihada za kumpata msemaji wa jeshi la police,na ikibidi taarifa rasmi ya daktarihana sehemu zake za siri.Maana mama huyo amaepoteza sehemu zake za siri wakati polisi wanakuja kumchukua.

No comments:

Post a Comment