Sunday, May 26, 2013
HIZI NDIZO SARAFU ZILIZOTUMIKA ZANZIBAR KABLA YA MUUNGANO.
Sarafu rasmi ya Zanzibar (Zanzibar rupee) ilitumika kati ya mwaka 1908- 1935. Sarafu ya Afrika Mashariki ilianza kutumika mwaka 1936 hadi mwaka 1969. Lakini baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 1964, Tanzania ikaanzisha safaru yake iliyochukuwa nafasi ya sarafu ya Afrika Mashariki kuanzia mwaka 1969. Vijana wa sasa mnalifahamu hilo
Baada ya 1884, Zanzibar ilitumia sarafu za aina tatu kwa mpigo. Sarafu ya kwanza ilijulikana kama Maria Theresa Thaler iliyotolewa Italy, ilikuwa na sura ifuatayo
Noti ya rupia 5 iliyotumika Zanzibar mwaka 1905.
Noti hii ya rupee 1 ya Zanzibar ilianzishwa na kutumika mwaka 1920
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment