Jumuia ya Uamsho na mihadahra ya kiislamu (JUMIKI) imekusanya majina 60,0000 ikiwa ni juu
yakupiga kura ya maoni juu ya kuukubali muungano au kuukataa.Naibu Amiri wa jumuia hiyo Sheikh Haji Ali akiwa katika hotel ya Mazson amesema kwamba muungano huo ulifanywa bila ridhaa ya wananchi na anasema imefika wakati muafaka wananchi kuamuna juu ya mustakabali wao.
Pia amesema kwamba jumuia hiyo imeundwa kisheria na amekanusha taarifa za kwamba jumuia hiyo ni ya fujo na ndo inahusika kuchoma makanisa
No comments:
Post a Comment