Jana jioni msanii wa
kizazi kipya abdul aziz Chende "Dogo janja" kukamatwa na bangi na
Askari polisi na kufikishwa kituo cha polisi Ngarenaro hapa jijini ,katika
kujitetea kituoni hapo alidai kuwa
alikuja kushow love na rafiki zake wa
hapaTown baada ya kunyakua tuzo kili music award weekend iliyopita, nje ya
tukio tulikutana na Msanii BAM wa jambo squad wanaotamba na ngoma zao kibao
zilizowafanya kunyakuwa tuzo ya kili music award na kusema kuwa,baada ya dogo janja kusafiria nyota
yao kwa muda mrefu sasa hayo ni sehem tu ya makofi ya Mwenyezimungu na atarajie
kukutana na balaa mtindo mmoja endapo tu atashindwa kuwa na heshima kwa wakubwa
zake na waliomjenga kisanii mpaka hapo alipofikia kabla hajaiba idea na
mashairi ya jambo squard ambapo dogo alishine na kutoka kimtindo.tunampa pole dogo janja na kumpa ushauri kuwa ikiwa ana njozi za kuwa msanii mkubwa nchini na kimataifa ajijenge kitabia na kuepuka makundi yanayoweza kumpoteza na kumuingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya.
No comments:
Post a Comment