Mwanamke huyu akiwa hajielewi kabisa kwa kile kilichomtokea baada ya kula uroda na mme wa mtu katika nyumba ya kulala wageni ya SUPER STAR iliyoko Hamgembe mjini Bukoba.Mwanamke huyo alitoweka na pesa za Mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma.Baada ya muda mama huyu
alijikuta baada ya umati kuwa mkubwa
police walifika maeneo ya tukio na kumchukua huyo mama,tunafanya jitihada za
kumpata msemaji wa jeshi la police,na ikibidi taarifa rasmi ya daktarihana
sehemu zake za siri.Maana mama huyo amaepoteza sehemu zake za siri wakati polisi wanakuja kumchukua.
No comments:
Post a Comment