Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Tuesday, June 18, 2013

HALIMA MDEE NA IDD AZZANI WAFANYA MAZOEZI TIYARI KWA MPAMBANO:

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Idd Azan ambaye ni Mbunge wa Kinondoni, wameanza kujichua kwa ajili ya mapambano yao ya ndondi katika Tamasha la Matumaini 2013 litakalofanyika Julai 7 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Halima Mdee atazipiga na
Jacqueline Wolper wakati Idd Azan akionyeshana ubabe na Jacob Steven


No comments:

Post a Comment