NYIMBO NIJULISHE YA MSANII FARY D (UDOM) INAKUJIA HIVI KARIBUNI.
Msanii anayeitwa Fary D kutoka (UDOM) anatarajia kutoa nyimbo yake inayoenda kwa jina la Nijulishe.Msanii huyo anaekuja kwa kasi amewaambia mashabiki wake wakae mkao wa kula kuweza kupokea ujio wa msanii huyo anaekuja kwa kasi sana.
No comments:
Post a Comment