Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Saturday, June 1, 2013

FUNUNU RASIMU YA KATIBA YAWEZA KUTOKA JUMATATU

Kutokana na fununu mbalimbali siku ya Juma tatu tunaweza kupata Rasimu mpya ya Katiba. Katiba amabayo ndo inapaswa kukidhu kiu ya Watanzania.Hizi ni tweet za muheshimiwa Zitto

J3 tunapata rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano Serikali Tatu, Neno Ujamaa kuondelewa. Mawaziri nje ya Bunge

No comments:

Post a Comment