Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Sunday, June 30, 2013

SIMULIZI YA KUSISIMUA NI MSICHANA ALIYEFANYA NGONO NA WANAUME KIBAO MME WAKE BILA KUTAMBUA SASA ANAHITAJI MSAADA.

          Najua simulizi yangu itawaudhi wengi ila itakubali ushauri wako utakaonipa na nitashukuru.Nilikutana na mme wangu nimpendae mwaka 2010 na kutambulishwa kwake na wazazi ambao walitulazimisha kuoana kulingana na Mila na Desturi za kikabila letu.
            Mtu wa kwanza niliyeanza kuwa na uhusiano naye ni
X boyfriend wangu amabye tulikuwa tukichat kupitia BBM kwa kuwa sikuwa na raha katika Ndo yangu nilimshawishi na kulala nae mara kwa mara na hapo alindoka kutoka Lagos Kwenda Abuja amabapo ndon ulikuwa  mwisho wa mahusiano yetu.
           Tangu siku hiyo nilikuwa na hamu juu ya wanaume wanne akiwemo rafiki wa karibu wa mme wangu.Mda huo nilikuwa na watoto wawili amabao niliwazaa na mme wangu lakini sikuridhika bado.
            Mme wnngu ananipenda sana tena sana na ni mwema lakini siko tiyari kuacha mahusiano yangu ya nje ya ndoa.Nilikuwa nikifuta namba za simu na message za wapenzi wangu lakini mme wangu wala hana tabia ya kuangalia simu yangu.Nina kuwa siku zote kuwa makini ili asijue mienendo yangu  kwa sababu sitaki kwenda mabali na familia yangu.
           Nimekutana na mchungaji wangu na akaniambia nifunge na nizidishe maombi kwa sana lakini naona halijanisaidia kwa sbabu wnaume badi nawaona
KWA SASA INABIDI NIACHE Lakini sijui jinsi ya kuacha.NAOMBA msaada wako.

No comments:

Post a Comment