Mambo si mazuri kwa Kenya ambao wameshuka kwa nafasi moja na
kukamata nafasi ya
123 huku Uganda ikikamata nafasi ya 93 baada ya kushuka kwa nafasi mbili.
123 huku Uganda ikikamata nafasi ya 93 baada ya kushuka kwa nafasi mbili.
Kwa upande wa nafasi za juu, nafasi za tatu zinaendelewa
kushikiliwa na Ujerumani (1), Argentina (2) na Croatia (3).
Nafasi ya mwisho (207) imekamatwa na visiwa vya Turks na Caicos.
No comments:
Post a Comment