Kutokana na mkutanao mkubwa wa injili ulioandaliwa na mabaraza ya kanisa ya kipentekoste Raisi wa Burundi
Saturday, May 25, 2013
HUYU NDO MREMBO ATAKAEWAKILISHA TANZANIA BIG BROTHER.
Kutokana na taarifa mbalimbali kutoka duru mbalimbali za habari huyu ndo mrembo anateitwa Feza Kessy
Friday, May 24, 2013
JE UNAJUA USHAURI ULIOTOLEWA HAPO MWANZO KUHUSU GESI YA MTWARA NA SERIKALI WAMEKOSEA WAPI?
Chukua mda wako wa dakika au masaa kadhaa kuweza kupitia document hiyo hapo ili ujue serikali ilishauliwa nini kuhusu gesi na mtaalamu wa masuala hayo.
WARIORUSHA BOMU ARUSHA WAACHIWA.
Kwa habari zilizopo ni kwamba jeshi la polisi Mkoani Arusha limewaachia watuhumiwa wanaosadikika kururusha bomu
Thursday, May 23, 2013
CHINUA ACHEBE KUZIKWA LEO NIGERIA.
Mwili wa mwandishi mashuhuri wa vitabu barani Afrika Chinua Achebe umewasili nyumbani kwake katika jimbo la Anambra nchini Nigeria.
Achebe atazikwa hivi leo Alhamisi.
Mwandishi huyo mashuhuri alifariki mjini Boston,Marekani, akiwa na umri wa miaka
BUNGE LAAHIRISHWA TENA.
Katika hali isiyo ya kawaida leo kwa mara ya pili Spika wa bunge ameahirisha tena bunge.Hii ni kwa sababu ya fuo zilizotokea
Subscribe to:
Posts (Atom)










