Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Tuesday, July 2, 2013

MAGAZETI YA LEO JULY 3 2013


MAUAJI YA DAUDI MWANGOSI WATUHUMIWA WAACHIWA HURU



MAHAKAMA ya Wilaya ya Mufindi imetupilia mbali mashtaka  yaliyokuwa yakiwakabili Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Hamad Yusuph na wenzake 42.

Kiongozi huyo pamoja na wenzake walikuwa wakikabiliwa na makosa matatu likiwemo la

MCHUNGAJI AFUNGWA MIAKA 30 JELA NA VIBOKO 12 KILA SIKU KWA KOSA LA UBAKAJI


FAMILIA YA MCHUNGAJI IKIONGEA NA MWANDISHI WA HABARI BAADA                    YA HUKUMU KUTOLEWA

MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God of Tanzania(EAGT) la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na viboko 12 baada ya kukutwa na makosa mawili ya Kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi wa miaka 19.

Akisoma hukumu hiyo Hakimu wa mahakama ya Wilaya ya Mbeya Ndugu Gilbert Ndeuruo amesema Mahakama imemtia hatiani kutokana na

PICHA;RAIS OBAMA ALIPOKUTANA NA BUSH KATIKA ARDHI YA TANZANIA.


GAZETI LA MAREKANI LAANIKA MAOVU YA TANZANIA

Tanzania imekosolewa na gazeti maarufu la Marekani wakati Rais Obama akipokewa kwa nderemo na vifijo.

Gazeti hilo maarufu nchini Marekani la The New York Times,limechapisha habari za kuonesha

TASWIRA KATIKA BARABARA ATAKAYOPITA BARRACK OBAMA JIJINI DAR ES SALAAM


Monday, July 1, 2013

KIMAMA NACHO CHAJITOSA KLABU NA KINGUO CHA AJABU HUKU KIKILA DANCE BILA WOGA.

Kimama au kibonge ambaye hakuweza kufahhamika mara moja alitimba club na kivazi cha ajabu huku akila dance bila woga vijana nao kwa kupenda mambo hawako nyuma nao wakaamua kusrebuk naye huyo mama.Kama unavyomuona naye ameonesha tumbo lake lilivyo la ukweli.

Sunday, June 30, 2013

EMMANUEL OKWII SASA KUUZWA ULAYA

Dar es Salaam. Klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia inatarajia kumpiga bei mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi kabla hata haijamaliza malipo ya deni la kumnunua mchezaji huyo raia wa Uganda kutoka Simba ya Dar es Salaam.
Okwi, aliyenunuliwa na Simba kutoka Sports Club Villa ya Uganda mwaka 2010 kwa ada ya uhamisho ya Dola 40,000, anatarajiwa kuuzwa klabu ya

BAADA YA OBAMA SASA NI GEORGE BUSH KUTUA NCHINI KESHO.


RAIS mstaafu wa Marekani, George W. Bush na mkewe, Laura wanatarajiwa kesho kuwa nchini kuhutubia kongamano linalojadili wajibu wa wake wa marais katika kuinua wanawake duniani.

Kuwasili kwa Bush, ni mwendelezo wa wiki hii Jiji la Dar es Salaam kuwa katika pilikapilika za

ZITTO KABWE ATOA YA MOYONI KUHUSU UJIO WA RAISI OBAMA TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA

Hatimaye Barack Obama, Rais wa Marekani anatembelea tena bara la Afrika. Hii itakuwa ni mara ya pili Obama kutembelea Bara hili alikotoka baba yake baada ya ziara yake ya kwanza mwaka 2009. Mwaka huo alitembelea Ghana na Misri ilhali mwaka huu anatembelea Senegali, Afrika Kusini na Tanzania. Ziara hiyo itakayoanza tarehe 26 mwezi Juni, itamfikisha Tanzania tarehe 1 Julai na kuondoka siku ya pili yake.
Uchaguzi wa Obama kuwa Rais wa Marekani ulipokolewa kwa shangwe Afrika nzima. Wakati Waziri wa mambo ya nje wa Nigeria alilia kwa furaha, nchi ya Kenya ilitangaza siku ya mapumziko na Rais wa zamani wa Afrika Kusini ndugu Nelson ‘Madiba’ Mandela alisema ‘ushindi wa Obama unawafanya Waafrika wathubutu kuota ndoto (Jarida la The Economist). Hapa Tanzania kulikuwa kuna

SASA NI LIVE BILA CHENGA RIHANNA AANIKA NYETI YAKE RASMI ILI MUIONE.

Sasa imekuwa ni too much Rihhanna amekuwa ni mtu wa kujiachia sna katika maisha yake hasa pale anapoamua kuonesha maungo yake ya mwili kwa watu.Sasa Rihanna wakati akiwa Beach ameamua kuonesha maungo yake moja kwa moja mazeeeee.wewe chezea weweeeeee

Nadhani we mwenyewe unajionea sijui ni makusudi au alikuwa akifanya yake na mapparazi wakawa wamemnasa nini.

KAULI YA LOWASSA KUHUSU HJIO WA OBAMA:ASIZUNGUMZIE KUHUSU MASHOGA NA NDOA ZA JINSIA MOJA AKIWA TANZANIA

Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo yaNje na Ushirikiano wa Kimataifa, Edward Lowassa, amemtahadhalisha kujiepusha na kauli za kuunga mkono ushoga.
 

Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, ameliambia NIPASHE Jumapili ofisini kwake jijini hapa jana kuwa ushoga na hai za ndoa kwa watu wa jinsia moja vinaweza `kuiharibu’ ziara yake hapa nchini.

Mapema wiki hii, Rais Obama alikaririwa akizungumzia masuala hayo yanayotajwa kuwa

BAADA OBAMA AKUTANA NA RAIS ZUMA ASEMA YAFUTAYO;


Rais wa Marekani Barack Obama, amesema uvumilivu na ujasiri wa Nelson Mandela ni mfano mwema kwa

SIMULIZI YA KUSISIMUA NI MSICHANA ALIYEFANYA NGONO NA WANAUME KIBAO MME WAKE BILA KUTAMBUA SASA ANAHITAJI MSAADA.

          Najua simulizi yangu itawaudhi wengi ila itakubali ushauri wako utakaonipa na nitashukuru.Nilikutana na mme wangu nimpendae mwaka 2010 na kutambulishwa kwake na wazazi ambao walitulazimisha kuoana kulingana na Mila na Desturi za kikabila letu.
            Mtu wa kwanza niliyeanza kuwa na uhusiano naye ni

MWANAMZIKI AANIKA NYETI ZAKE GAZETINI


Mwanamziki WAJE kutoka Nigeria anayesifika kwa kutupia nguo nzuri.Kipindi hiki ameonekana kuachia zaidi na kuonesha nyeti zake.Hebu cheki  picha yake chini uone kama

SERIKALI YASHUSHA USHURU WA MAFUTA NA KODI YA SIMU YAFUTWA:


MFUMO mpya wa Bunge kuanza na bajeti za kisekta na kumalizia na Bajeti ya Serikali pamoja na uundwaji wa Kamati ya Bajeti, umeonesha makali yake kiasi na kuilazimisha Serikali, kushusha kodi ya

WAPOTEZA MAISHA WAKATI WAKIFANYA MAPENZI:WAPI? SOMA HAPA


Wapenzi wameanguka na kufa baada ya dirisha walipokuwa wakifanyia mapenzi kufunguka ghafla nchini

Wednesday, June 26, 2013

KUTANA NA WANAWAKE WATANO WALIOPIGA PICHA ZA UTUPU NA SABABU ZA KUFANYA IVO.


KATIKA DUNIA YA SASA HASA WATU WANAYOIITA NI ZAMA ZA MWISHO WANAWAKE WAMEKUWA NA TABIA YA KUPIGA PICHA ZA UTUPU.DAAAH KUMBE SIO KWAMBA WANAPIGA BILA SABABU.DAAH WANAKUWA NA SBSBU BANA.HEBUUU KUTAAANA NA HAWA AKINA MAMA KAMA SIO AKINA DADA WAKUPE SABABU ZA KWA NINI WALIAMAUA KUFNYA HAYO

 Huyu sasa unajua kasemaje,dahh wacha wewe wana wake mna mambo kasema eti

DADA AONJA JOTO YA JIWE BAADA YA KUPOST PICHA HII FACEBOOK

Dada huyo hapo chini ameachwa na mpenzi wake baada ya kupost picha iliyomuonyesha matiti yake n a baadhi ya viungo vyake vya mwili.Huyo dada anadai bado anampenda mpenzi wake na anataka warudiane lakini hajui atafanyaje ili waweze kurudiana hebu muangalie hapo chini