Thursday, July 4, 2013
BAADA YA RAIS MORSI KUPINDULIWA RAIS MPYA WA MPITO KUAPISHWA LEO
Jaji mkuu wa mahakama ya kikatiba nchini Misri Adli Mansour anatarajiwa kuapishwa kama rais wa mpito wa nchi hiyo baada ya jeshi kumng'oa madarakani rais Mohammed Morsi, ambaye ni kiongozi wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia nchini humo.Mkuu wa jeshi Generali Abdul Fattah al-Sisi alitoa tangaza hilo kupitia televisheini Jumatano jioni, katika kile Morsi, alisema
Wednesday, July 3, 2013
RIHANNA NA PICHA ZA UCHI SASA NI VIDEO YAKE
Baada ya Mwanadada RIHANNA kuwa na tabia ya kuweka picha za uvhi mtandaoni sasa Mwanadada huyo ameamua kutoa video yake hebu icheki hapao chini kwa kubofya link hapo chini mdau wangu
http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=Y_zTy6icegU
WAPONA UKIMWI BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI
Wagonjwa wawili wameondolewa bughdha ya kutumia madawa ya kupunguza makali ya ukimwi maishani mwao baada ya kufanyiwa upasuaji na kupandikiziwa uboho wan binadamu au (Bone marrow), hatua inayosemekana kuondoa virusi vya HIV mwilini mwao.
Mgonjwa mmoja amesemekana kukaa kwa miezi minne bila ya kutumia madawa ya kupunguza makali ya ukimwi bila ya dalili ya kurejea kwa uogonjwa huo.
Matokeo ya utafiti huo yaliwasilishwa katika mkutano wa kimataifa kuhusu maswala ya Ukimwi.Madaktai waliofanya utafiti huo katika hospitali ya matibabu kwa wanawake ya Brigham nchini Marekani, wanasema ni
MISRI KWA FUKUTA RAIS MORSI SASA YAWEZEKANA AKAPINDULIWA
Hali ya taharuki imetanda Misri huku makataa iliyotolewa na jeshi kwa rais wa nchi hiyo Mohammed Mosri ikikaribia kufika ukingoni.
Kuna taarifa za kutofautiana kuhusu ikiwa jeshi litatoa taarifa punde baada ya muda huo wa masaa 48 aliopewa rais Morsi kutafuta suluhu ya mgogoro huo kutimia.
Maafisa wakuu wa serikali wako kwenye mkutano wa dharura nchini Misri, saa chache kabla ya muda wa mwisho ambao jeshi na upinzani zilimpa rais wa nchi hiyo Mohammed Morsi
MSANII MAARUFU BONGO MOVIE ABAKWA
Kuna habari mbaya ambazo zilianza kusambaa mtandaoni jana.Habari hizo zinazomhusu msanii maarufu wa bongo movie ambaye anadaiwa kubakwa (Mtungo ) na wanaume kadhaa.
Habari hizo zinadai kuwa,
Habari hizo zinadai kuwa,
Tuesday, July 2, 2013
MCHUNGAJI AFUNGWA MIAKA 30 JELA NA VIBOKO 12 KILA SIKU KWA KOSA LA UBAKAJI
FAMILIA YA MCHUNGAJI IKIONGEA NA MWANDISHI WA HABARI BAADA YA HUKUMU KUTOLEWA
MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God of Tanzania(EAGT) la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na viboko 12 baada ya kukutwa na makosa mawili ya Kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi wa miaka 19.
Akisoma hukumu hiyo Hakimu wa mahakama ya Wilaya ya Mbeya Ndugu Gilbert Ndeuruo amesema Mahakama imemtia hatiani kutokana na
Monday, July 1, 2013
Sunday, June 30, 2013
EMMANUEL OKWII SASA KUUZWA ULAYA
Dar es Salaam. Klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia inatarajia kumpiga bei mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi kabla hata haijamaliza malipo ya deni la kumnunua mchezaji huyo raia wa Uganda kutoka Simba ya Dar es Salaam.
Okwi, aliyenunuliwa na Simba kutoka Sports Club Villa ya Uganda mwaka 2010 kwa ada ya uhamisho ya Dola 40,000, anatarajiwa kuuzwa klabu ya
Subscribe to:
Posts (Atom)















