Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Tuesday, June 11, 2013

KAMATI YA MARIDHIANO YA ZANZIBAR YASHTUSHWA NA DK.SHEIN.

Hali visiwani Zanzibar inaonekana si shwari kwenye serikali yenye muundo wa umoja wa kitaifa, baada ya Rais Ali Mohamed Shein kusema
haitambui Kamati ya Maridhiano iliyoasisi muundo huo mpya wa serikali anayoiongoza.
Kusikiliza mazungumzpo bonyenya hapa chini

No comments:

Post a Comment