Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Monday, October 14, 2013

KATIKA HILI NANI WA KULAUMIWA?

                   Nawasalimia waungwana wote.Leo ndio siku alipofariiki muasisi wa taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Tanzania inasemekana ni nchi inayoendelea.Ukweli wa hili wnaujua wale wanaokaa katika nchi yeneyewe.kiujumla nchi inayoendele hadi watu wake watakuwa wanaendelea pia.Tunatatarajia kuona mabadiriko kulingana na maliasili tuliyonayo na si chini ya hapo basi kama tuna maliasili chache na mababdiriko yatakuwa ya ile malisaili chache.Baba katika familia anaendele kulingana na kazi na mtaji anaoutumia katika kufanya maendeleo yake.Ikiwa baba ana kazi nzuri na hata nyumba hana basi familia itajua huyu baba wa hapa atakuwa ni mfujaji wa kipato cha familia.Hivo basi wataamini kwamba anaelekeza pesa katika sehemu kusiko takiwa.Hivo basi Nchi hii imekuwa ni kama familia iliyotelekezwa na baba na ikabaki na mama mwenye upendo ila hana uwezo wa kutunza hiyo familia.Na cha kusikitisha zaidi hata watoto ndani ya familia hawawezi kumsaidia mama akapata kipato na kuendeleza familia ile.Tanzania imekuwa ni nchi ya mtu mle mtu.
           Wananchi wa hali ya chini wamekuwa wakiisha kwa hali ya vita vya weneyewe kwa wenyewe kwa wenyewe na nafsi zao.Wanapigana vita na nafsi zao huku wakiwaza nini watakachokula leo huku wao wakiwa ndio watendaji wakuu na kulipa kodi ambazo zimeendelea kuwaneemesha wakubwa.
           Wananchi matatizo waliyonayo ni suala zima la umasikini ambao umewafanya wawe ni watu wakufikiria suala zima la kutafuta ela ya kula tu mchana na usiku na sikufanya shuguli nyingine.Hao hao wanofanya biashara ndogo ya kuwalisha watoto wao hao hao ndio wanaodaiwa kodi kwa kupigwa virungu na Mgambo huku kodi yao ikienda kuliwa na watu bila kuwasaidia hao walipa kodi anagalau kuwajengea vibanda wafanyie biashara yao bila kupigwa na jua.Hao hao ndio wanaojengewa visima vya maji na serikali kwa gharama ya kodi yao na hapo hapo kulipia maji walioyajenga wao na hutoka kwemye ardhi waliyotunukiwa na mola wao.Watanzania licha ya kudhurumiwa haki zao wamekuwa pia wakinyamazishwa wasidai haki zao zilizodhurumiwa.Ama kweli SIJUI NANI ALAUMIWE?
            Licha ya kuishi katika mazingira magumu ya namna hii.Wapo wale amabao tiyari w aalishafanya raia wa hali ya chini kama misukule.MISUKULE hulimishwa kila siku usiku kucha na msukule wakati huo msukule huambulia chakula aina ya UNGA bila hata kusongwa.Wakati wale wanomiliki misukule hufurahia kwa kucheza ngoma na kufurahia mavuno yaliyolimwa na misukule hao.Mwisho wa siku misukule hao hukatwa ulimi ili asiweze kuongea kipi kinachoendelea kati yake na yule aliyemfanya msukule.Hatimae huyo msukule atakufa na kuliwa nyama na mwenye msukule huyo.
Watanzania chonde

Sunday, October 13, 2013

MWANDISHI WA HABARI UFOO SARO WA ITV NA RADIO ONE APIGWA RISASI PAMOJA NA MAMA YAKE.

Taarifa za mwanzo za kusikitisha ambazo tumezipata hivi punde zinasema mtu mmoja anayedhaniwa kuwa mume au mchumba wa mwandishi wa habari wa ITV na Radio One Ufoo Saro amefanya mauaji ya kutisha na

Saturday, October 12, 2013

YAONE MAGARI ALIOYOTUMIA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE.

Gervas Mwatebela, Dar es Salaam 
Wasomaji wetu leo tumeamua kuangazia suala dogo tu katika utalii wa ndani kwa kutazama baadhi ya  magari aliyotumia Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa harakati za Uhuru na baada ya Uhuru mpaka alipofariki Oktoba 14,1999. Maelezo ya makala haya ni kwa mujibu wa nyaraka zilizopo Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam hasa kuhusiana na magari na miaka ya magari yalipotumika. Fuatana nasi.
1.AUSTIN MORRIS A-40
Gari aina ya  Austin Morris A-40 lilitengenezwa nchini Uingereza kati ya mwaka 1940 – 1950. Ni gari la kwanza kutumiwa na

Sunday, September 1, 2013

JE UNAJUA MAANA YA BONGO LAND?HEBU SOMA HAPA.

Chama cha kibinfasi cha kisiasa cha MEP nchini Uingereza kimeshutumiwa kwa kutumia neno.......'Bongo Bongo Land'
Lakini kwa baadhi ya watu nchini Tanzania, neno hilo lina maana isiyo na ubaya wowote.
'Bongo Bongo land' ni neno ambalo hutumiwa miongoni mwa

Friday, August 30, 2013

RAISI KIKWETE AMATAKA MUSEVENI KUZUNGUMZA NA KAGAME ILI YAISHE:


RAIS Jakaya Kikwete, amewasiliana na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ili azungumze na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwa nia ya

Monday, August 5, 2013

MTANZANIA ADAKWA NA MADAWA HUKO THAILAND.

SIKU chache baada ya serikali za Tanzania na Thailand kutiliana saini mkataba wa kubadilishana wafungwa na kutekeleza sheria ya vifungo, raia wa Tanzania amebambwa na dawa za kulevya nchini humo.
Mtanzania huyo aliyefahamika kwa jina moja la

HUU NDIO UKWELI KUHUSU SHOMARI KAPOMBE

Habari zenu wapenzi wa Soka Tanzania,

Nimejiunga hapa ili niweze kutoa majibu kwa maswali yoyote kuhusu suala la mchezaji Shomari Kapombe aliye chini ya mwongozo wangu. Nimeamua nifanye hivi baada ya

RIPOTI YA MAUAJI YA ARUSHA YAVUJA

HATIMAYE ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, kuhusu vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyotokea Arusha Januari 5, 2011 kwenye maandamano ya CHADEMA imevuja.

Licha ya ripoti hiyo kufichwa kwa kutosomwa hadharani kwenye

JAMANI WASAIDIENI HAWA AKINA DADA WANAOUZA MIILI YAO


HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO AUGUST 5 2013


SITTA ASEMA WABUNGE VITI MAALUMU HAWANA UMUHIMU WOWOTE.

Asema wengi hawachangii lolote bungeni na hawana yeyote wa kuwahoji kama ilivyo kwa wale wa majimbo.

*Aunga mkono Rasimu ya Katiba Mpya kufuta viti hivyo, asema ni mzigo mwingine kwa wananchi.
Dar es Salaam. 

Wiki moja baada ya kukaririwa akisema baadhi ya wabunge wa CCM ni mizigo na kwamba hawana mchango wowote bungeni na wala

MAKAHABA WAZID KUICHAFUA UDOM

Ongezeko  la  makahaba  mjini  Dodoma  limeendelea  kuwa  kero  kwa  chuo  kikuu  cha Dodoma  na  wanafunzi  wake  kwa  ujumla....

Kero  hiyo  imekuwa  ikisababishwa  na  baadhi  ya 

WANYARANDWA SASA KURUDI KWAO

Mamia ya wahamiaji haramu kutoka nchini Rwanda wakiwa na ng’ombe zaidi 900 wameanza kuondoka nchini kurejea kwao kutokana na agizo la Rais Jakaya Kikwete kuwataka waondoke Tanzania kabla ya siku

Thursday, July 18, 2013

WANAWAKE WALIOVALIA KAMA MASISTA WAKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA

Wanawake watatu wamekamatwa kwa madai ya kujaribu kusafirisha dawa za kulevya kupitia uwanja wa ndege wakiwa

UMRI WA KUOLEWA SASA KUONGEZWA.

Mtakwimu Mkuu wa serikali ya

SIKU 100 ZA SERIKALI YA RAIS KENYATA

Mgomo wa walimu, kuzorota kwa usalama na uhasama wa

MZEE NELSON MANDELA AFIKISHA MIAKA 95

Leo ni siku ya kimataifa ya shujaa wa kupinga Ubaguzi wa Rangi Afrika Kusini, Nelson Mandela.
Rais mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela pia anaadhimisha siku ya kuzaliwa leo akitimiza miaka 95 akiwa bado amelazwa hospitalini.
Serikali ya Afrika Kusini imewaomba wananchi wake

Wednesday, July 17, 2013

PICHA YETU YA LEO UNAZIKUMBUKA ENZI HIZI KAMA WEWE UMEZIPITIA HASA WALE TULIOSOMEA VIJIJINI.

Sote tumetoka katika staili ya namna hii.wale wote ambao mlisomea shule tofauti na hizi hamna cha kusimilia juu ya hii picha.AMA KWELI POLE POLE NDIO MWENDO.Bila maisha ya hivi hata ukiwa kiongozi hautawajua ni kina nani wenye shida.Ila ninachojua mtu wa hivi apate nafasi ya kuwa kiongozi atawatetea wamyonge na masikini kwa sababu anajua ubaya na uzuri wake. 

HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI 17 2013.