Kufuatia tukio la mlipuko jana Jumamosi jijini Arusha, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeahirisha chaguzi za madiwani katika kata zote nne (4) za TEMI,KIMANDORU,ELERAI na KALORENI jijini Arusha hadi Jumapili ya tar 30/6/2013.
Sheria inawapa mamlaka NEC kufanya hivyo pale wanapogundua kuwa
hakutakua na uhuru wa mpiga kura kwenda kupiga kura. Alisema haiwezekani uchaguzi ufanyike ktk hali kama hiyo huku kukiwa na wasiwasi.
Idadi ya waliokufa kutokana na Mlipuko wa Bomu hadi sasa inadaiwa kufikia wanne

No comments:
Post a Comment