Ni ukweli usiopingika kwamba wanawake wamekuwa katika uhusiano na wnaume amabao tiyari wameshaoa.Kila mtu yaweza kuwa nasababu zake juu ya kwa nini anaingia katika mahusiano ya namna hiyo.Ni ukweli usiopingika kwamba hapo chini ni sababu za kwa nini,Wanawake huingia katika mahusiano na wanaume amabao tiyari wameshaoa.
HUPENDA SANA NGONO
Hii ni kama wanaume, wanawake wengi wanatamani ngono. Kama matokeo, wakati baadhi ya wanawake kukutana na mtu kwamba ni ukweli usiopingika mvuto wa kimapenzi. hii ni sababu moja kwa nini baadhi ya wanawake tu hawezi kuingia katika mahusiano na mtu mwingine bali yeye anamtafuta mtu aliyeoa.Hii ni kwa sabau wao wanapokutana hupenda ngono na,na mwisho wa yote kukataa kukomesha uhusiano.
USIRI KATIKA MAHUSIANO
Kuna usemi usemao jambo usilolijua wala halikuumizi,Hivo wakati wawili hao wapo katika mahusiano hujua kwamba hakuna anejua mahusiano ya watu hao wawili.Kwa hiyo hujua kwamba hakuna mtu ajuaye mahusiano yao.Ivo basi hufanya icho kitu wakijua wako salama mpaka pale mambo yanapokuja kubumburuka.
KUPENDA PESA
Ni ukweli usiopingika kwamba wanawake wengi katika mahusiano ya namna hii wmaekuwa kama vile wafanyabishara.Wanawake huwaendea wanaume bila kufikiria kwamba kuna mtu wanamuumiza bali wao hujali tu pesa moja kwa moja.
HUAMINI WNAUME WOTE NI WASALITI
Hii ni kutokana na yeye alivyowahi ktenedewa ivo haoni sababu ya kwa nini asimchukue mme wa mtu na kwenda kufanya nae Ngono.Japo wazo hili si sawa kwa wote.Yeye huamini kwamba hakuna mtu anaeweza kuoa au kuolewa bila kudanganya.
HUTAKA KUJIONA WENYE NGUVU
Hapa ndipo alipoangukia mwanamke wa kimarekani aitwae Monica Lewinsky baada ya kulala na Raisi wa marekani kwa kufanya Ngono.Hii yote ni kutaka kujiona umaarufu kwamba alifanya Ngono na mtu mkubwa.Wanawake wengi hupenda sana kuwafuata wnaume wenye umaarufu(profile men)
PREPARED BY
Mubaah (Blogger)

No comments:
Post a Comment