Mwenyekiti wa TLP Agustino Lyatonga Mrema amesema kwamba hana mpango wa kugombea Urais 2015 kwani hana
Mtaji na kuwa atamuunga mkono Mbunge wa Monduli na Waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa kwani anauhakika wa MTAJI na kuwa stashinda.
Alisema kwamba yeye (Mrema) anaona biashara hiyo ya kugombea Urais inahitaji Mtaji mkubwa na kuwa yeye hataweza!
Source: Gazeti la Habari leo.
No comments:
Post a Comment