Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Sunday, June 2, 2013

HIZI NDIZO SABABU 12 ZA CCM KUKATA RUFAA DHIDI YA LISSU.

Chama cha Mapinduzi kimeeleza hoja 12 katika kesi ya rufaa ya kupinga ushindi wa ubunge wa Mbunge

HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMATATU 3 JUNI 2013


WABUNGE WANASWA KATIKA DANGULO LA UCHI MJINI DODOMA.





Katika ukumbi mmoja mmaarugu mjini DODOMA yamekuwa yakitokea mengi sana.Ikiwemo

BREAKING NEWS:MELI YA MV ALAFAT INATEKETEA KWA MOTO TANGA.

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINATUARIFU KUWA MELI YA MIZI
GO YA MV ARAFAT INATEKETEA KWA MOTO KATIKA BANDARI YA TANGA...

KWA TAARIFA ZAIDI ENDELEA KUTEMBELEA BLOG YETU

UKUTA WA MNARA WA MAJI WAANGUKA PEMBA WATU WAPOTEZA MAISHA.

JUMLA ya watu watatu wamefariki dunia papo hapo na watatu kujeruhiwa  baada ya kuangukiwa na ukuta wa mnara wa tanki la maji uliopo

JK HAMUOMBI RADHI KAGAME:

Serikali ya Tanzania imesema haitaomba radhi kwa serikali ya Rwanda kutokana na kauli ya Raisi Kikwetwe alipoishauri Rwanda

PITIA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI 2 JUNE 2013.


Saturday, June 1, 2013

POROJO ZA SABABU YA KIFO CHA NGWEA ZAZIDI KUCHANGANYA SOMA HAPO CHINI.

KIFO cha msanii wa Hip Hop Bongo, Albert Kenneth Mangwea a.k.a Ngwea kilichotokea Jumanne wiki hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini ‘Sauzi’, kinaendelea kuibua mapya ambapo sasa sumu imetajwa kuhusika. 
Akizungumza na paparazi wetu juzi kwa njia ya simu moja kwa moja kutokea nchini humo, Mtanzania mmoja (jina tunalo) alisema muda huo yeye alikuwa nje ya Hospitali ya St. Helen Joseph ambako mwili wa marehemu ulikuwa umehifadhiwa kwenye Mochwari ya Hillbrow.
Mbongo huyo alisema alifanikiwa kuutazama mwili wa marehemu Ngwea ambapo ulionesha kuwa

NYIMBO NIJULISHE YA MSANII FARY D (UDOM) INAKUJIA HIVI KARIBUNI.

Msanii anayeitwa Fary D kutoka (UDOM) anatarajia kutoa nyimbo yake inayoenda kwa jina la Nijulishe.Msanii huyo anaekuja kwa kasi amewaambia mashabiki wake wakae mkao wa kula kuweza kupokea ujio wa msanii huyo anaekuja kwa kasi sana.

VIDEO:KITUO CHA TELEVISHENI CHAONESHA NGONO WAKATI WA TAARIFA YA HABARI


Katika hali isiyo ya kawaida kituo kimoja cha  televisheni nchini Ubeligiji kimejikuta kikishitakiwa.Kituo hicho kimejikuta kikishitakiwa baada ya kuonyesha video ya ngono nyuma ya msomaji wa habari.














HEBU TAZAMA HIYO VIDEO UPATE KUJIONEA NA KUONGEZA MAISHA.

PICHA:CHEKA NA MUBAAH KWA LEO.


ZANA ZA HIZBOLLAH ZAPATIKANA NIGERIA.

Karakana ya silaha inayoaminika kumilikiwa na kundi la Hezbollah, nchini Lebanon imapatikana Kaskazini mwa Nigeria.
Kwa mujibu wa taarifa za jeshi na shirika la ujasusi la Nigeria

FUNUNU RASIMU YA KATIBA YAWEZA KUTOKA JUMATATU

Kutokana na fununu mbalimbali siku ya Juma tatu tunaweza kupata Rasimu mpya ya Katiba. Katiba amabayo ndo inapaswa kukidhu kiu ya Watanzania.Hizi ni tweet za muheshimiwa Zitto

Friday, May 31, 2013

CCM NA MBINU ZA KUHUJUMU UBUNGE WA LISSU

Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, amekaliwa “kooni’ tena, kufuatia hatua ya

VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI 1 JUNE 2013


SHEREHE ZINAZOFANYWA NA MADADA VYUO VIKUU ZA JINSIA MOJA.

Kutokana na kile kinachoendelea duniani ni pamoja na wimbi la kuongezeka mapenzi ya jinsia.Huko nchini

SIKILIZA WABUNGE WA CUF NA CHADEMA WAKIOMBANA RADHI LEO BUNGENI


KUTOKANA NA FUJO ZILIZOTOKEA JANA LEO HII WABUNGE WAOMBANA RADHI WOTE WA CUF NA CHADEMA.ZISIKILIZE SAUTI ZAO HAPO CHINI.
I'm listening to taarifa ya habari ya tbc=== @Hulkshare:

WANAFUNZI MZUMBE WAFUKUZWA WAPEWA SIKU MBILI WAONDOKE:

Wananfunzi wakidato cha kwanza hadi cha sita katika shule ya sekondari Mzumbe Morogoro wamelazimika

VIDEO:SAMAHANI LAKINI:HEBU CHEKI UCHAFU UNAOFANYIKA BIG BROTHER.