Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi(CCM) Abdulrahmani Kinana amemfungulia kesi Mbunge wa Iringa Mchungaji PETER MSIGWA kwa kile kinachodaiwa kwamba alitoa kauli nje na ndani ya Bunge kuwa
Thursday, June 13, 2013
ATEMBEA UCHI MTAANI:
KIJANA BAADA YA MADAWA KUMZIDIA AAMUA KUTEMBEA UCHI MTAANI.KAMA UNATAKA KUONA VIDEO YA KIJANA HUYO BOFYA HAPO CHINI.
http://link.brightcove.com/services/player/bcpid823619053?bctid=2472340553001
http://link.brightcove.com/services/player/bcpid823619053?bctid=2472340553001
HIII NDIO BAJETI YA TANZANIA MWAKA 2013/14 KWA UFUPI
Waziri apendekeza Kuanzisha kodi ya zuio ya asilimia 10 ya kamisheni (commission) ya usafirishaji wa fedha kwa njia ya simu za mkononi. Kodi hiyo itakusanywa na kampuni za simu kutoka kwa wakala wanaotoa huduma za kusafirisha fedha kupitia simu za mkononi- Waziri apendekeza Kuongeza kiwango cha Ushuru wa Bidhaa kwenye magari yasiyo ya uzalishaji (Non-Utility Motor Vehicles) ya umri wa zaidi ya miaka 10 kutoka asilimia 20 hadi asilimia 25. Hatua hii inalenga katika kupunguza uagizaji wa magari chakavu, kulinda mazingira na kupunguza ajali
KWA KIFUPI
- Katika kipindi cha Julai hadi Aprili 2013, Serikali ilikopa shilingi bilioni
BREAKING NEWS:MSANII LANGA KILEO A.K.A LANGA AFARIKI DUNIA
MSANII AITWAE LANGA KILEO A.K.A LANGA AMEFARIKI DUNIA MDA MCHACHE ULIOPITA LANGA AMEFIKISHWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI LEO ASUBUHI AKIWA ANAUMWA MALARIA KALI.HABARI KAMILI TUTAKUTAARIFU.
UJUMBE NA KISA CHA MTANZANIA ALIYEFUNGWA ANGOLA.
Baadhi ya ndugu na marafiki wa Mtanzania aliehukumiwa kifungo cha miaka nane nchini Angola baada ya kupatikana na dawa za kulevya alizokua akizisafirisha kwenda
CHEZEA NGUVU YA UMMA WEWE?WABUNGE KENYA WASALIMU AMRI
Wabunge wa Kenya wamesalimu amri ya madai yao ya kuongezewa mshahara waliyokuwa wameshayapigia kura na kujiwekea posho kubwa zikiwemo gari za kifahari na mafao ya kustaafu, liliripoti shirika la habari la AFP siku ya Jumatano (tarehe 12 Juni).
Mwezi uliopita, wabunge wa Kenya walijipigia kura
HUYU MTENGENEZA MAJENEZA NI NOMA:
Mtu mmoja anayejikimu kwa kutengeneza majeneza ameonesha kipaji cha ajabu sana hebu bofya hapo chini uweze kuona videp yake ni DAKIKA MBILI tu.
MAANDAMANO KENYA YAZIDI KUPINGA WABUNGE KUJIONGEZEA MISHAHARA:
Mashirika yasiyo ya kiserikali yamefanya maandamano mwengine mjini Nirobi Kenya kupinga jaribio la wabunge
Wednesday, June 12, 2013
POLISI KENYA MATATANI KWA MIHADARATI
Mamlaka ya Kitaifa ya kupambana na mihadarati nchini Kenya (NACADA), jamii ya Waislamu, na wakuu wa mashirika ya kijamii nchini humo wameituhumu polisi kuwa
KUTOKA BUKOBA MWANAMKE APOTEZA NYETI ZAKE:
Mwanamke huyu akiwa hajielewi kabisa kwa kile kilichomtokea baada ya kula uroda na mme wa mtu katika nyumba ya kulala wageni ya SUPER STAR iliyoko Hamgembe mjini Bukoba.Mwanamke huyo alitoweka na pesa za Mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma.Baada ya muda mama huyu
AUDIO.NYIMBO MPYA KUTOKA KWA LADY JAYDEE(YAHAYA)
Pata kusikiliza nyimbo mpya ya Mwanadada Lady Jaydee inayoitwa Yahaya.bofya link hiyo hapo chini.....
I'm listening to Lady JayDEE - Yahaya @Hulkshare:
I'm listening to Lady JayDEE - Yahaya @Hulkshare:
AFYA YA NELSON MANDELA YAIMARIKA.
Hali ya Afya ya aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela, inaendelea kuimarika.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, amesema kuwa amefahamishwa na madaktari wanaomtibu kuwa, hali ya Mzee Mandela
DOGO JANJA AKAMATWA NA KUWEKWA LOCKUP KISA BANGI.
Jana jioni msanii wa
kizazi kipya abdul aziz Chende "Dogo janja" kukamatwa na bangi na
Askari polisi na kufikishwa kituo cha polisi Ngarenaro hapa jijini ,katika
kujitetea kituoni hapo alidai kuwa
CCM YAPINGA SERIKALI TATU KATIKA RASIMU YA KATIBA
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepinga muundo wa Muungano wa Serikali tatu unaopendekezwa katika rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwanzoni mwa wiki iliyopita. Chama hicho
Tuesday, June 11, 2013
MAONI YA CCM KATIKA RASIMU YA KATIBA.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari juu ya rasimu ya kwanza ya mchakato wa katiba mpya.
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imekutana jana tarehe 10/06/2013 chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imekutana jana tarehe 10/06/2013 chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM
Subscribe to:
Posts (Atom)


















.jpg)
