Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Monday, June 3, 2013

HII NDIO RASIMU MPYA YA KATIBA.

Rasimu ya katiba iliyotoka jana na kusomwa mbele ya watu waliokusanyika huku ikielezea mambo mbalimbali.Kama hujaipata Rasimu hiyo unaweza kubofya link hiyo hapo chini.
http://www.katiba.go.tz/attachments/article/182/Rasimu%20_Final_%20(1).pdf

MWILI WA MAREHEMU NGWEA WAAGWA AFRIKA YA KUSINI.

 Watanzania waishio nchini South Africa wamepata nafasi ya kuuaga mwili wa

RASIMU YA KATIBA YA SHERIA YAZINDULIWA RASMI


Rasimu ya katiba imeziduliwa leo hii amabapo maswala mbalimbali yameibuka likiwemo la Mgombea binafsi kupendekezwa kuwepo katika katiba ijayo

TAMKO LA BALOZI WA TANZANI AFRIKA KUSINI KUHUSU KUWASILI KWA MWILI WA MAREHEMU NGWEA.


Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini Radhia Msuya.
Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini kwenye picha hapo juu ametoa pole kwa familia,wasanii na wadau wote kwa kupotelewa na kijana ambaye bado watu walikuwa wanamuhitaji.Amesema kuwa mwili wa marehemu Ngwair umechelewa kufika Tanzania kutokana na post mortem na taratibu za kupata kibali cha kusafirisha mwili huo kutoka Serikali ya Africa ya Kusini.Radhia alisema kuwa kama taratibu zote zitaenda sawa mwili huo utawasili siku ya Jumanne Tanzania.
HEBU TUMSIKILIZE HAPO CHINI
I'm listening to BALOZI AFRIKA KUSINI FULL.mp3 @Hulkshare:

NANI ASEMWE KATI SINTAH NA BINTI ALIYEMWAGA RADHI TABORA:

Nimeamua kuandika hii habari kwa mtizamo tofauti na wengine.Na hii imetokana na mwanadada SINTAH Kuandika maneno juu ya huyu Mwanadada huko Tabora aliyemwaga radhi mbele ya umati mkubwa.Sintah amekichukulia kitendo hicho kama cha kipuuzi na akacha kukumbuka hata ya kwake.Kwani kama ni sura la picha naye pia aliwahi kuonekana viungo vyake hata zaidi ya huyo mdada na kama suala ni kulewa je yeye kipindi anafanya haya alikuwa amelewa au alikuwa hajalewa.

Kushoto ni Mwanadada wa Tabora aliyemwaga aliyeonyesha makalio

KAMATI YA MAZISHI YA NGWEA YAKUSANYA MILIONI 32

                        Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi Adam Juma (aliyesimama) akisalimiana na                    Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Radhia Msuya nyumbani kwa baba mdogo wa   marehemu Mangweha Mbezi Beach Beach jijini Dar.

KAMATI ya Mazishi ya aliyekuwa Msanii wa Bongo Fleva, Albert Mangwea ‘Ngwea’, mpaka jana

Sunday, June 2, 2013

HIZI NDIZO SABABU 12 ZA CCM KUKATA RUFAA DHIDI YA LISSU.

Chama cha Mapinduzi kimeeleza hoja 12 katika kesi ya rufaa ya kupinga ushindi wa ubunge wa Mbunge

HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMATATU 3 JUNI 2013


WABUNGE WANASWA KATIKA DANGULO LA UCHI MJINI DODOMA.





Katika ukumbi mmoja mmaarugu mjini DODOMA yamekuwa yakitokea mengi sana.Ikiwemo

BREAKING NEWS:MELI YA MV ALAFAT INATEKETEA KWA MOTO TANGA.

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINATUARIFU KUWA MELI YA MIZI
GO YA MV ARAFAT INATEKETEA KWA MOTO KATIKA BANDARI YA TANGA...

KWA TAARIFA ZAIDI ENDELEA KUTEMBELEA BLOG YETU

UKUTA WA MNARA WA MAJI WAANGUKA PEMBA WATU WAPOTEZA MAISHA.

JUMLA ya watu watatu wamefariki dunia papo hapo na watatu kujeruhiwa  baada ya kuangukiwa na ukuta wa mnara wa tanki la maji uliopo

JK HAMUOMBI RADHI KAGAME:

Serikali ya Tanzania imesema haitaomba radhi kwa serikali ya Rwanda kutokana na kauli ya Raisi Kikwetwe alipoishauri Rwanda

PITIA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI 2 JUNE 2013.


Saturday, June 1, 2013

POROJO ZA SABABU YA KIFO CHA NGWEA ZAZIDI KUCHANGANYA SOMA HAPO CHINI.

KIFO cha msanii wa Hip Hop Bongo, Albert Kenneth Mangwea a.k.a Ngwea kilichotokea Jumanne wiki hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini ‘Sauzi’, kinaendelea kuibua mapya ambapo sasa sumu imetajwa kuhusika. 
Akizungumza na paparazi wetu juzi kwa njia ya simu moja kwa moja kutokea nchini humo, Mtanzania mmoja (jina tunalo) alisema muda huo yeye alikuwa nje ya Hospitali ya St. Helen Joseph ambako mwili wa marehemu ulikuwa umehifadhiwa kwenye Mochwari ya Hillbrow.
Mbongo huyo alisema alifanikiwa kuutazama mwili wa marehemu Ngwea ambapo ulionesha kuwa

NYIMBO NIJULISHE YA MSANII FARY D (UDOM) INAKUJIA HIVI KARIBUNI.

Msanii anayeitwa Fary D kutoka (UDOM) anatarajia kutoa nyimbo yake inayoenda kwa jina la Nijulishe.Msanii huyo anaekuja kwa kasi amewaambia mashabiki wake wakae mkao wa kula kuweza kupokea ujio wa msanii huyo anaekuja kwa kasi sana.

VIDEO:KITUO CHA TELEVISHENI CHAONESHA NGONO WAKATI WA TAARIFA YA HABARI


Katika hali isiyo ya kawaida kituo kimoja cha  televisheni nchini Ubeligiji kimejikuta kikishitakiwa.Kituo hicho kimejikuta kikishitakiwa baada ya kuonyesha video ya ngono nyuma ya msomaji wa habari.














HEBU TAZAMA HIYO VIDEO UPATE KUJIONEA NA KUONGEZA MAISHA.

PICHA:CHEKA NA MUBAAH KWA LEO.


ZANA ZA HIZBOLLAH ZAPATIKANA NIGERIA.

Karakana ya silaha inayoaminika kumilikiwa na kundi la Hezbollah, nchini Lebanon imapatikana Kaskazini mwa Nigeria.
Kwa mujibu wa taarifa za jeshi na shirika la ujasusi la Nigeria

FUNUNU RASIMU YA KATIBA YAWEZA KUTOKA JUMATATU

Kutokana na fununu mbalimbali siku ya Juma tatu tunaweza kupata Rasimu mpya ya Katiba. Katiba amabayo ndo inapaswa kukidhu kiu ya Watanzania.Hizi ni tweet za muheshimiwa Zitto