Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Monday, May 20, 2013

BABA YAKE GARRY NEVILLE MATATANI.

 Baba yake mwanasoka  Garry Neville anashutumiwa kwa kosa la unyanyasji wa kijinsia.
Baba wa mwanasoka huyo Neville Neville alikamatwa mwezi March na anategemewa kufikishwa mahakamamani juni 12.

                       Neville Neville Baba Yake Garry Neville.

No comments:

Post a Comment