Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Monday, May 20, 2013

BREAKING NEWS; MHESHIMIWA MBOLINYI AZIMIWA KIPAZA SAUTI BUNGENI.

Katika hali isiyo ya kawaida mda huu mheshimiwa Mbilinyi akiwa anaanza kusoma hotuba yake kipaza sauti kilizimwa na hiyo nibaada ya Spika kutoa maelekezo juu ya kile kilichopo kwenye hotuba hiyo kwamba ni uchochezi vile vile inazungumzia mambo yaliyiko mahakamni likiwemo la mauaji ya mwongosi.Spika ANE MAKINDA alitoa mwongozo wake na kwamba maneno hayo yaondiolewe lakini Mheshimiwa Mbilinyi Aliyasoma kama yalivyo ndipo jukumu la kuzima Kipaza Sauti Lilichukuliwa.

No comments:

Post a Comment