Wananchi wakiwa nje ya MAHAKAMA walpozuiliwa kutoingia ndani ya Mahakama kipindi Mbunge wao alipo wasili mahakamani hapo.
Mbunge huyo anafikishwa mahakamani hapo kutokana na vurugu zilizotokea jana eneo la mashine tatu mjini Iringa.Mbunge huyo anashutumiwa kwa kuchochea fujo hizo zilizosababisha gari la zima moto Iringa Kuharibiwa.
Mheshimiwa Msigwa akiwa ameshika Gazeti mara baada ya kushuka kwenya gari kuelekea Mahakamani.
Ulinzi nao haukuwa nyuma.
Mchungaji Msigwa akiwa anashuka kutoka kwenye gari la polisi chini ya ulinzi mkali
No comments:
Post a Comment