Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Sunday, June 16, 2013

HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 17 2013.


HABARI NZIMA JUU YA UTEKWAJI WA NASSARI HII HAPA

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari ameshambuliwa na vijana wa Chama cha

KUTANA PICHA WANAZOPIGA WANADA NA KUSAHAU MAADILI YA KIAFRIKA NA TANZANIA KWA UJUMLA

Kutokana na kile kinachosemaekana kwamba wanadamu wamekosa staha na adabu katika maisha yao na kufika hatua ya kusahau kabisa uwepo wa mungu sasa wameanza kuanika maungo yao waazi kabisa na kutuma picha zao katika mtandao.Hebu kwa mda wako tazama picha hizo hapo chini na utamke maneno yako kwa kuacha comment hapo chini.

JOSHUA NASSARI ATEMBEZEWA KICHAPO.

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari muda huu amepigwa na kujeruhiwa vibaya damu

Saturday, June 15, 2013

SABABU TANO JUU YA KWA NINI WANAWAKE HUPENDA KUWA NA MAHUSIANO NA WANAUME WALIO OA TIYARI.

Ni ukweli usiopingika kwamba wanawake wamekuwa katika uhusiano na wnaume amabao tiyari wameshaoa.Kila mtu yaweza kuwa nasababu zake juu ya kwa nini anaingia katika mahusiano ya namna hiyo.Ni ukweli usiopingika kwamba hapo chini ni sababu za kwa nini,Wanawake huingia katika mahusiano na wanaume amabao tiyari wameshaoa.

MAANDALIZI YA KIUSALAMA ZIARA YA OBAMA TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA

Washington- Rais Obama atapokwenda Afrika Kusini mwa Sahara mwezi huu, taasisi zenye jukumu la usalama wake hazifanyi lelemama.
Mamia wa mashushushu wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais wa Marekani (US Secret Service) watasambazwa katika maeneo ya usalama huko

KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA JANA UCHAGUZI WA HAIRISHWA.

Kufuatia tukio la mlipuko jana Jumamosi jijini Arusha, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeahirisha chaguzi za madiwani katika kata zote nne (4) za TEMI,KIMANDORU,ELERAI na KALORENI jijini Arusha hadi Jumapili ya tar 30/6/2013.
Sheria inawapa mamlaka NEC kufanya hivyo pale wanapogundua kuwa

PICHA ZA MATUKIO MLIPUKO WA BOMU ARUSHA LEO HII:SAMHANI KWA PICHA HIZI.

 Watu wawili wanahofiwa kupoteza maisha na wengine

MREMA ATANGAZA KUMUUNGA MKONO LOWASSA 2015

Mwenyekiti wa TLP Agustino Lyatonga Mrema amesema kwamba hana mpango wa kugombea Urais 2015 kwani hana

MAGAZETI YA LEO JUNI 15 2013




SHOO YA MWANA FA YADODA WATU KIDUCHU.

 Wahudhuriaji wa "The Finest" Kama Zamani wakiwa wanaenjoy burudani classic kutoka kwa Mwana FA.

Friday, June 14, 2013

SHOW YA LADY JAYDEE NOMA HEBU CHEKI PICHA ZA MATUKIO.


Mwanadada Judith Mbibo aka Lady Jaydee usiku wa kuamkia Jumamosi ya June 15 amefanikiwa kuweka historia kwenye muziki wa Tanzania kwa kulijaza eneo zima la Nyumbani Lounge alipokuwa akifanya show yake ya kuadhimisha miaka 13 tangu aanze muziki. 
Hii imedhihirisha kuwa majina anayojiita mwanadada huyu ni ya halali kabisa na yanamfaa kwani tafauti na watu walivyodhan palijaa watu hadi wakaanza kubebana ama kwa hakika huyu ni komando,anaconda hebu anagalia picha mdau utakubaliana na mimi
 Hivi ndivyo hali ilivyo ndani ya Ukumbi huu wa Nyumbani Lounge,Namanga jijini Dar es Salaam ambapo ambapo jana lilikuwepo bonge moja la show la Mwanadada mkongwe kwenye tasnia ya muziki hapa nchini,Lady Jay Dee ambaye anatimiza miaka 13 tangu alipoanza kazi yake ya muziki.katika show hii wanamuziki mbali mbali wamepanda jukwaani akiwepo Mh. Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.

WATOTO 93,000 WAMEUAWA SYRIA

Umoja wa Mataifa umesema takriban watoto elfu tisini na tatu wameuawa nchini Syria tangu kuanza kwa mapigano nchini humo.
Kwa mujibu wa takwimu hizo, idadi hiyo imeongezeka kwa zaidi ya

RAIA WA ZIMBABWE WANAPOKONYWA REDIO:JE UNAJUA CHANZO SOMA HAPA UPATE KUJUA.

Redio kuu kuu zinazotumia kawi ya jua, huenda ni wazo zuri kuwasaidia raia wa Zimbabwe ambao wamekwama katika limbi la umaskini kupiga gumzo nyakati za jioni kabla ya usiku kuingia.
Lakini

KILICHOMUUA LANGA CHATAJWA

Baba mzazi we Langa, Mangisemi Kileo ameeleza chanzo cha kifo cha mwanaye ambaye kimetokea jana katika Hospitali ya Muhimbili.
Langa amefariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili baada ya

Thursday, June 13, 2013

ABDULRAHMAN KINANA AFUNGUA KESI DHIDI YA PETER MSIGWA.

Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi(CCM) Abdulrahmani Kinana amemfungulia kesi Mbunge wa Iringa Mchungaji PETER MSIGWA kwa kile kinachodaiwa kwamba alitoa kauli nje na ndani ya Bunge kuwa

ATEMBEA UCHI MTAANI:

KIJANA BAADA YA MADAWA KUMZIDIA AAMUA KUTEMBEA UCHI MTAANI.KAMA UNATAKA KUONA VIDEO YA KIJANA HUYO BOFYA HAPO CHINI.
http://link.brightcove.com/services/player/bcpid823619053?bctid=2472340553001

PITIA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 14 2013


WANAFUNZI WAENDELEZA KUPIGA PICHA CHAFU HEBU CHEKI HAPA.


HII IMETOKEA HUKO MKOANI MTWARA WANAFUNZI WAKIWA KWENYA PARTY.Jamani wakati mwingine

HIII NDIO BAJETI YA TANZANIA MWAKA 2013/14 KWA UFUPI

 Waziri apendekeza Kuanzisha kodi ya zuio ya asilimia 10 ya kamisheni (commission) ya usafirishaji wa fedha kwa njia ya simu za mkononi. Kodi hiyo itakusanywa na kampuni za simu kutoka kwa wakala wanaotoa huduma za kusafirisha fedha kupitia simu za mkononi- Waziri apendekeza Kuongeza kiwango cha Ushuru wa Bidhaa kwenye magari yasiyo ya uzalishaji (Non-Utility Motor Vehicles) ya umri wa zaidi ya miaka 10 kutoka asilimia 20 hadi asilimia 25. Hatua hii inalenga katika kupunguza uagizaji wa magari chakavu, kulinda mazingira na kupunguza ajali

KWA KIFUPI
- Katika kipindi cha Julai hadi Aprili 2013, Serikali ilikopa shilingi bilioni