Find us on facebook

Pages

Follow Me.

Wednesday, June 12, 2013

AFYA YA NELSON MANDELA YAIMARIKA.

Hali ya Afya ya aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela, inaendelea kuimarika.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, amesema kuwa amefahamishwa na madaktari wanaomtibu kuwa, hali ya Mzee Mandela

DOGO JANJA AKAMATWA NA KUWEKWA LOCKUP KISA BANGI.

Jana jioni msanii wa kizazi kipya abdul aziz Chende "Dogo janja" kukamatwa na bangi na Askari polisi na kufikishwa kituo cha polisi Ngarenaro hapa jijini ,katika kujitetea kituoni hapo alidai kuwa

CCM YAPINGA SERIKALI TATU KATIKA RASIMU YA KATIBA

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepinga muundo wa Muungano wa Serikali tatu unaopendekezwa katika rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwanzoni mwa wiki iliyopita. Chama hicho

Tuesday, June 11, 2013

MAONI YA CCM KATIKA RASIMU YA KATIBA.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye  akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari juu ya rasimu ya kwanza ya mchakato wa katiba mpya.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imekutana jana tarehe 10/06/2013 chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM

HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 12 2013


VIDEO:KAMATI KUU YA CCM IMEKUTANA LEO MJINI DODOMA

KAMATI YA MARIDHIANO YA ZANZIBAR YASHTUSHWA NA DK.SHEIN.

Hali visiwani Zanzibar inaonekana si shwari kwenye serikali yenye muundo wa umoja wa kitaifa, baada ya Rais Ali Mohamed Shein kusema

ALIYEFICHUA SIRI ZA (CIA) MASHAKANI SOMA STORY NZIMA HAPA:

Mwanamume aliyefichua habari za ujasusi za Marekani, akiwa Hong Kong, sasa ametoweka hotelini mwake. Edward Snowden aliambia waandishi wa habari kuwa

LWAKATARE APEWA DHAMANA.


Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare na mwenzake Joseph Ludovick Rwezaura, lhivi punde wamepata dhamana na endapo

Sunday, June 9, 2013

TUNDU LISSU ACHOMA MOTO KADI ZA CCM.

Ni baada ya Mbunge huyo kutoa hotuba yenye maneno mazito ndipo wananchi waliokuwa pale walizikusanya

CHADEMA WAUNGA MKONO SERIKALI TATU:

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema chama chake

WABUNGE WASUBIRI KWA HAMU BAJETI KUU



Mkutano wa 11 wa Bunge la Muungano unaendelea leo baada ya mapumziko ya mwishoni mwa wiki, huku wabunge na wananchi wakisubiri Bajeti ya Serikali.
Baada ya wizara 32 kumaliza kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2013/14, kinachosubiriwa sasa ni

IMAMU WA MSIKITI ACHEZEA KICHAPO STORY NZIMA YA KISA SOMA HAPA.

IMAMU wa msikiti wa Maziwa Ngo’mbeKisiwani Pemba, Omar Hussen Said (42) amepigwa na kujeruhiwa jicho baada ya kutokea vurugu ndani ya msikiti wakati wa ibada ya Ijumaa Juni 7 mwaka, imefahamika jana.

MHADHIRI CHUO KIKUU ATEMBEZWA UCHI.KISA NINI SOMA HAPA.

Mhadhiri wa chuo kikuu cha

PITIA MAGAZETI YA LEO JUNI 10 2013


JIDE AMUITA MWANA FA MWANA FATUMA HUKU AKIMPA VIJEMBE VINGINE.

27 WAUAWA:UNAJUA NI WAPI HUKO SOMA HAPA.

Maafisa wa hospitali mjini Benghazi nchini Libya wanasema kiasi ya watu ishirini na saba wameuawa huku wengine hamsini

HAWA NDIO WASHINDI WA KILL MUSIC AWARD 2013


Usiku wa tuzo za KTMA ulipambwa na burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo

MCHEKI HUYU KIJANA NA KIPAJI CHA AJABU.

Saturday, June 8, 2013

MANDELA AREJESHWA TENA HOSPITALINI.

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela amerejeshwa hospitalini mara baada ya

FIRST ELEVEN YA LEO NDO HII: TAIFA STARS VS MOROCCO

JUMA KASEJA,ERASTO NYONI,SHOMARI KAPOMBE,YONDANI,HERY MORIS,FRANK DUMAYO,MRISHO NGASSA,SALUM ABUBAKARI,THOMAS ULIMWENGU.AMRI KIEMBA,SAMATTA MBWANA.
                                                      ALL THE BEST TAIFA STARS

NYIMBO MPYA KUTOKA KWA FARRY D FT NOAH PV

Ili nyimbo mpya iliyosubiliwa kwa hamu sasa imetoka siku ya leo na iko tayari unaweza kuidownload hapo chini
                                          I'm listening to Noah& Fary D. NIJULISHE @Hulkshare:

KONA YA SHERIA LEO NI Shaaban Itandu Selema Vs Tundu Antipasi Lissu.

                            Bofya link hiyo hapo chini kupata hukumu ya kesi nzima
                                          ShaabaniItanduSelemaVSTunduAntipasMughwayiLissu%20No.37%20OF%202010.HTM

TAIFA STARS WAFANYIE FITINA MOROCCO STORI NZIMA SOMA HAPA.

TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars usiku huu imekiona cha moto mbele ya

TAPELI AKAMATWA:AMETAPELI MISIKITI NA MAKANISA:

Kijana William ambaye anadaiwa kufanya kazi ya  utapeli katika majengo ya ibada anapokuwa misikitini hutumia jina

RAISI WA SOMALIA ANUSURIKA KIFO.

Rais mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud , amenusurika jaribio la kumuua mjini Mogadishu.

MAANDALIZI YA TUZO ZA KILL MUSIC AWARD NDO HAYA.


RUSHWA YA NGONO YATAJWA UDOM

Suala la uwepo wa rushwa ya ngono kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) limetinga bungeni Lilijitokeza jana wakati Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Murtaza Mangungu (CCM)

Wednesday, June 5, 2013

VIDEO:REGINALD MENGI ASEMA UMASIKINI WA AKILI KWA VIONGOZI NDIO JANZO CHA UMASIKINI:

KATIKA SHERIA KWA LEO:Wilfred Muganyizi Rwakatale vs Sued Hamisi Kagasheki.

Pitia na usome kwa makini kesi iliyokuwa ya uchaguzi wa jimbo la bukoba mjini  kupinga ushindi wa MH SUED KAGASHEKI.

MSIBA:MME WAKE HADIJA KOPA AMEFARIKI:

MUIMBAJI MAARUFU WA TAARABU AU MALKIA WA MIPASHO NA MJUMBE WA NEC-CCM TAIFA HADIJA KOPA AMEFIWA NA MUMEWE JAFFARI USIKU WA KUAMKIA LEO.................HABARI ZAIDI ZITAWAJIA HIVI KARIBUNI..
R.I.P JAFFAR ALLY MTOTO WA KIKWERE
POLE SANA MALKIA WA MIPASHO.

PICHA ZA MATUKIO MKOANI MOROGRORO MWILI WA MAREHEMU NGWEA ULIPOPOKELEWA.


VIDEO YA DADA WA KITANZANIA ALIVYOKAMATWA NA MADAWA EGYPTY


Mwanadada anayesadikika kuwa Mtanzania alikamatwa nchini Egypty akiwa na madawa ya kulevya.Hii hapa chini ni VIDEO inayoonesha ushahidi wa kukamatwa kwa huyo dada wa KITANZANIA.



RUTO NA UHURU KESI YAO KUSIKILIZWA TANZANIA AU KENYA?


Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu inaweza kuendesha kesi yake kwa mara ya kwanza nje ya The Hague baada ya majaji wake kusema kwamba yumkini wakaendesha kesi dhidi ya makamo wa rais wa Kenya katika nchi yake auTanzania.
Majaji hao Jumatatu (03.06.2013) walikuwa wakijibu ombi la mawakili wa William Ruto

KIONGOZI WA ALSHABAB HUKO PUNTLAND SOMALIA AKAMTWA

Maafisa wa utawala katika jimbo la Puntland, wanasema kuwa wamemkamata kiongozi wa kundi la al Shabab katika

SOMA TAARIFA ZA MWNADADA ALIYEKAMATWA MISRI NA MADAWA NA KUHUKUMIWA KUNYONGWA.


guys mmoja wa wasomaji na rafiki wa facebook amemuinbox mdau mmoja amabae alitoa taarifa na kusema kwamba

KONA YA SHERIA KWA LEO.

The Legal Authority Behind Obama’s Patent Push

WAKAZI WA DAR WAUAGA MWILI WA NGWEA VIWANJA VYA LEADERS


MWILI WA MAREHEMU NGWEA ULIPOWASILI VIWANJA VYA LEADERS.


Mwili wa marehemu Aalbert Mangwea uliwasili jana kutoka afrika ya kusini na leo hii unatarajiwa kuagwa katika viwanja vya LEADERS mjini Dar es salaam tiyari kwa safari ya kuelekea Morogaoro kwa Mazishi.



Tuesday, June 4, 2013

VIDEO:WANANCHI WALIVOSUKUMA GARI LILOKUWA NA MWILI WA NGWEA.

SHERIA TETE YA VYOMBO VYA HABARI BURUNDI.

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, ameidhinisha kama sheria mswaada

MWANADADA MTAMZANIA KUNYONGWA MISRI KISA KAKAMATWA NA MADAWA,

Huyu katka picha ni mwandada inayesemaekana alikamatwa nchini misri na madawa na anatarajiwa kunyongwa siku ya Ijumaa.Habari kamili juu ya huyu mwanadada hazijadhibitika kamili enedelea kutembaelea mubaah katela blog.

KIBANDA AWASILI NCHINI AMWAGA CHOZI.

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF, Absalom Kibanda amewasili hivi punde katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere nchini Tanzania, na kumwaga chozi akitokea Afrika Kusini alikokwenda kwa matibabu baada ya

MWILI WA NGWEA HATIMAE WAFIKA BONGO CHEKI HALI ILIVYOKUWA.


HII PICHA INA MAANISHA NINI.


KUNDI LA LRA NA BIASHARA YA MENO YA TEMBO.

                                          Caesar Achellam, kamanda wa cheo cha juu wa kundi la LRA
Ripoti mpya imesema kwamba kuna ushahidi  mkubwa kuwa kundi la waasi la (LRA) linajishughulisha na

GADDAFI ALIFICHA MALI AFRIKA KUSINI:

Wizara ya fedha ya Afrika Kusini inachunguza tuhuma kwamba mali ya thamani ya kama dola

HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO