Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi(CCM) Abdulrahmani Kinana amemfungulia kesi Mbunge wa Iringa Mchungaji PETER MSIGWA kwa kile kinachodaiwa kwamba alitoa kauli nje na ndani ya Bunge kuwa
Waziri apendekeza Kuanzisha kodi ya zuio ya asilimia 10 ya kamisheni (commission) ya usafirishaji wa fedha kwa njia ya simu za mkononi. Kodi hiyo itakusanywa na kampuni za simu kutoka kwa wakala wanaotoa huduma za kusafirisha fedha kupitia simu za mkononi- Waziri apendekeza Kuongeza kiwango cha Ushuru wa Bidhaa kwenye magari yasiyo ya uzalishaji (Non-Utility Motor Vehicles) ya umri wa zaidi ya miaka 10 kutoka asilimia 20 hadi asilimia 25. Hatua hii inalenga katika kupunguza uagizaji wa magari chakavu, kulinda mazingira na kupunguza ajali
KWA KIFUPI
- Katika kipindi cha Julai hadi Aprili 2013, Serikali ilikopa shilingi bilioni
MSANII AITWAE LANGA KILEO A.K.A LANGA AMEFARIKI DUNIA MDA MCHACHE ULIOPITA LANGA AMEFIKISHWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI LEO ASUBUHI AKIWA ANAUMWA MALARIA KALI.HABARI KAMILI TUTAKUTAARIFU.
Baadhi ya ndugu na marafiki wa Mtanzania aliehukumiwa kifungo cha miaka nane nchini Angola baada ya kupatikana na dawa za kulevya alizokua akizisafirisha kwenda
Wabunge wa Kenya wamesalimu amri ya madai yao ya kuongezewa mshahara waliyokuwa wameshayapigia kura na kujiwekea posho kubwa zikiwemo gari za kifahari na mafao ya kustaafu, liliripoti shirika la habari la AFP siku ya Jumatano (tarehe 12 Juni).
Mamlaka ya Kitaifa ya kupambana na mihadarati nchini Kenya (NACADA), jamii ya Waislamu, na wakuu wa mashirika ya kijamii nchini humo wameituhumu polisi kuwa
Mwanamke huyu akiwa hajielewi kabisa kwa kile kilichomtokea baada ya kula uroda na mme wa mtu katika nyumba ya kulala wageni ya SUPER STAR iliyoko Hamgembe mjini Bukoba.Mwanamke huyo alitoweka na pesa za Mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma.Baada ya muda mama huyu
Jana jioni msanii wa
kizazi kipya abdul aziz Chende "Dogo janja" kukamatwa na bangi na
Askari polisi na kufikishwa kituo cha polisi Ngarenaro hapa jijini ,katika
kujitetea kituoni hapo alidai kuwa
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepinga muundo wa Muungano wa Serikali tatu unaopendekezwa katika rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwanzoni mwa wiki iliyopita.Chama hicho
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari juu ya rasimu ya kwanza ya mchakato wa katiba mpya. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imekutana jana tarehe 10/06/2013 chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM
Mkurugenzi wa Ulinzi na
Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare na
mwenzake Joseph Ludovick Rwezaura, lhivi punde wamepata dhamana na endapo
IMAMU wa msikiti wa Maziwa Ngo’mbeKisiwani Pemba, Omar Hussen Said (42) amepigwa na kujeruhiwa jicho baada ya kutokea vurugu ndani ya msikiti wakati wa ibada ya Ijumaa Juni 7 mwaka, imefahamika jana.
Suala la uwepo wa rushwa ya ngono kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) limetinga bungeni Lilijitokeza jana wakati Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Murtaza Mangungu (CCM)