Saturday, June 22, 2013
Friday, June 21, 2013
VIDEO YA MKUTANO WA CHADEMA ULIOSHAMBULIWA SOWETO ARUSHA
Hii ndio video ya Mkutana uliofanyika huko Arusha na badae kutokea Mlipuko wa BOMU.
Thursday, June 20, 2013
SUALA LA WATU KUJIROKODI HUK WAKIFANYA NGONO LAZIDI KUSHIKA KASI HEBU CHEKI HII.
Suala la watu kujirokodi hali yakuwa wanafanya ngono limekuwa sasa ni la kawaida sana hawa nao waamua kufanya yao chonde chonde usiangalie hii mpaka uwe na umri wa miaka 18 KUONA VIDEO HIYO BOFYA HAPO LINK INAYOFATA.http://universaleribellah.blogspot.com/2013/06/hii-imekua-tabia-ya-kawaida-katika-vyuo.html
Wednesday, June 19, 2013
UVAAJI WA NAMNA HII UNAASHIRIA NINI?
Katika swala lisilo la kawaida mambo kama haya yameendelea katika jamii.Jambo la kujiuliza ni kwamba je wakemeji wamekosa au sote tushakuwa wale wale tunapenda mambo kama haya
kwa mda wako waweza kuchukua fursa yako na kukemea mambo kama haya hasa we mwanajamii unayelinda maadili ya jamii hii ili yasiweze kupotea.Ni wewe pamoja na mimi twaweza kukomesha tabia hii,
KAHABA ACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUGUNDULIKA ANAFANYA HIYO BIASHARA KARIBU NA MSIKITI:
KHAAA! Operesheni Fichua Maovu ‘OFM’ iliyo chini ya Global Publishes, ipo mzigoni na hivi karibuni imenasa tukio la aina yake ambapo mke wa mtu amechezea kichapo ‘hevi’ akidaiwa kufanya ukahaba jirani na msikiti, Risasi Mchanganyiko lina kisa kamili.
LUNDENGA AMTIMUA MREMBO KISA NINI SOMA HAPA.
MWENYEKITI wa Kamati ya Mashindano ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga Jumamosi iliyopita alimtimua mshiriki wa shindano la Redd’s Miss Morogoro 2013, Saphina Chumba (20) jukwaani wakati shindano hilo lilipokuwa likiendelea.
Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Hoteli ya Kitalii ya Nashera mjini hapa wakati mrembo huyo alipokuwa
PICHA:HAYA NDIO MAMBO MCHAFU YANAYOTEKEA JUKWAANI WKATI WASANII WAKITUMBUIZA
Hivi fikiria umeenda kwenye tamasha la muziki huku ukiangalia wasanii wanojiita kioo cha jamii unaona mambo kama haya yanatokea utafanyaje wewe kama wewe?
Wasanii mbalimbali Afrika kw ujumla wamekuwa na tabia za kucheza huku wakionesha sehemu zao za siri na maungo ya mwili huku wakijua hicho ndicho wanachotaka mashabiki.Suala hili kwa mtizamo wangu sio zuri na ni bora wakaacha mara moja.Natoa Rai kwa Watanzania wenzangu na Afrika kwa ujumla kuweza kukemea na kuchuka hatua juu ya tabia hizi mbovu za wasnii wetu hususani pale tendo hili linapojitokeza.
Tuesday, June 18, 2013
NAPE, GODBLESS LEMA, NA MBOWE WATAKIWA KUPELEKA USHAHIDI POLISI
Jeshi la Polisi limetishia kuwakamata Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na limesema litamhoji Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye baada ya wanasiasa hao kudai kufahamu watu waliohusika na tukio la kurushwa bomu mwishoni mwa wiki iliyopita.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Arusha jana, Mkuu wa Operesheni wa Polisi, Kamishna Paul Chagonja aliwataka wanasiasa hao
TAMKO LA CHADEMA UK KUHUSU MLIPUKO WA ARUSHA.
TAMKO RASMI CHADEMA UK
CHADEMA UK awali ya yote tunapenda kutoa pole kwa waTanzania na wapenzi wa CHADEMA waliopatwa na kukutwa na janga la kurushwa kwa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA wa kuhitimisha shughuli za kampeni za uchaguzi wa madiwani huko Arusha. Tunatuma salam zetu kuwafariji wale wote walioguswa kwa namna moja ama nyingine katikaMonday, June 17, 2013
MAKALA KUHUSU WAGANGA WA KIENYEJI TANZANIA.
Watu wengi nchini Tanzania - na kote barani Afrika, hutafuta ushauri wa waganga wa kienyeji wanaotibu maradhi mbali mbali na kupiga kamari.Sheria za serikali na madawa ya kisasa, huenda zimebadilika , lakini waganga wa kienyeji wangalipo tena kwa sana. Mpiga picha Sasja van Vechgel alikutana na baadhi yao. Mganga huyu anaendesha kazi yake katika 'Kitala', kijumba kidogo anachotumia kuwapa wagonjwa dawa.Baadhi ya watu kuonelea bora kutibiwa na daktari wa kienyeji kuliko daktari wa kawaida kwa kuwa na umani nao zaidi na labda kutokana na madawa ya kisasa kukosa kufanya kazi.
KISA CHA KANUMBA KUZALIWA UPYA HIKI HAPA.
Mama Lulu na mama wa marehemu Steven Kanumba wanaonekana kuwa karibu
sana siku hizi na hivyo watu kuzidi kuamini kuwa hawana tofauti tena na kusahau
yaliyopita. Dada wa marehemu Steven Kanumba
Sunday, June 16, 2013
KUTANA PICHA WANAZOPIGA WANADA NA KUSAHAU MAADILI YA KIAFRIKA NA TANZANIA KWA UJUMLA
Kutokana na kile kinachosemaekana kwamba wanadamu wamekosa staha na adabu katika maisha yao na kufika hatua ya kusahau kabisa uwepo wa mungu sasa wameanza kuanika maungo yao waazi kabisa na kutuma picha zao katika mtandao.Hebu kwa mda wako tazama picha hizo hapo chini na utamke maneno yako kwa kuacha comment hapo chini.
Saturday, June 15, 2013
SABABU TANO JUU YA KWA NINI WANAWAKE HUPENDA KUWA NA MAHUSIANO NA WANAUME WALIO OA TIYARI.
Ni ukweli usiopingika kwamba wanawake wamekuwa katika uhusiano na wnaume amabao tiyari wameshaoa.Kila mtu yaweza kuwa nasababu zake juu ya kwa nini anaingia katika mahusiano ya namna hiyo.Ni ukweli usiopingika kwamba hapo chini ni sababu za kwa nini,Wanawake huingia katika mahusiano na wanaume amabao tiyari wameshaoa.
MREMA ATANGAZA KUMUUNGA MKONO LOWASSA 2015
Mwenyekiti wa TLP Agustino Lyatonga Mrema amesema kwamba hana mpango wa kugombea Urais 2015 kwani hana
Friday, June 14, 2013
SHOW YA LADY JAYDEE NOMA HEBU CHEKI PICHA ZA MATUKIO.
Mwanadada Judith Mbibo aka Lady Jaydee usiku wa kuamkia Jumamosi ya June 15 amefanikiwa kuweka historia kwenye muziki wa Tanzania kwa kulijaza eneo zima la Nyumbani Lounge alipokuwa akifanya show yake ya kuadhimisha miaka 13 tangu aanze muziki.
Hii imedhihirisha kuwa majina anayojiita mwanadada huyu ni ya halali kabisa na yanamfaa kwani tafauti na watu walivyodhan palijaa watu hadi wakaanza kubebana ama kwa hakika huyu ni komando,anaconda hebu anagalia picha mdau utakubaliana na mimi
Hivi ndivyo hali ilivyo ndani ya Ukumbi huu wa Nyumbani Lounge,Namanga jijini Dar es Salaam ambapo ambapo jana lilikuwepo bonge moja la show la Mwanadada mkongwe kwenye tasnia ya muziki hapa nchini,Lady Jay Dee ambaye anatimiza miaka 13 tangu alipoanza kazi yake ya muziki.katika show hii wanamuziki mbali mbali wamepanda jukwaani akiwepo Mh. Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.WATOTO 93,000 WAMEUAWA SYRIA
Umoja wa Mataifa umesema takriban watoto elfu tisini na tatu wameuawa nchini Syria tangu kuanza kwa mapigano nchini humo.
Kwa mujibu wa takwimu hizo, idadi hiyo imeongezeka kwa zaidi ya
RAIA WA ZIMBABWE WANAPOKONYWA REDIO:JE UNAJUA CHANZO SOMA HAPA UPATE KUJUA.
Redio kuu kuu zinazotumia kawi ya jua, huenda ni wazo zuri kuwasaidia raia wa Zimbabwe ambao wamekwama katika limbi la umaskini kupiga gumzo nyakati za jioni kabla ya usiku kuingia.
Lakini
KILICHOMUUA LANGA CHATAJWA
Baba mzazi we Langa, Mangisemi Kileo ameeleza chanzo cha kifo cha mwanaye ambaye kimetokea jana katika Hospitali ya Muhimbili.
Langa amefariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili baada ya
Thursday, June 13, 2013
ABDULRAHMAN KINANA AFUNGUA KESI DHIDI YA PETER MSIGWA.
Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi(CCM) Abdulrahmani Kinana amemfungulia kesi Mbunge wa Iringa Mchungaji PETER MSIGWA kwa kile kinachodaiwa kwamba alitoa kauli nje na ndani ya Bunge kuwa
ATEMBEA UCHI MTAANI:
KIJANA BAADA YA MADAWA KUMZIDIA AAMUA KUTEMBEA UCHI MTAANI.KAMA UNATAKA KUONA VIDEO YA KIJANA HUYO BOFYA HAPO CHINI.
http://link.brightcove.com/services/player/bcpid823619053?bctid=2472340553001
http://link.brightcove.com/services/player/bcpid823619053?bctid=2472340553001
HIII NDIO BAJETI YA TANZANIA MWAKA 2013/14 KWA UFUPI
Waziri apendekeza Kuanzisha kodi ya zuio ya asilimia 10 ya kamisheni (commission) ya usafirishaji wa fedha kwa njia ya simu za mkononi. Kodi hiyo itakusanywa na kampuni za simu kutoka kwa wakala wanaotoa huduma za kusafirisha fedha kupitia simu za mkononi- Waziri apendekeza Kuongeza kiwango cha Ushuru wa Bidhaa kwenye magari yasiyo ya uzalishaji (Non-Utility Motor Vehicles) ya umri wa zaidi ya miaka 10 kutoka asilimia 20 hadi asilimia 25. Hatua hii inalenga katika kupunguza uagizaji wa magari chakavu, kulinda mazingira na kupunguza ajali
KWA KIFUPI
- Katika kipindi cha Julai hadi Aprili 2013, Serikali ilikopa shilingi bilioni
BREAKING NEWS:MSANII LANGA KILEO A.K.A LANGA AFARIKI DUNIA
MSANII AITWAE LANGA KILEO A.K.A LANGA AMEFARIKI DUNIA MDA MCHACHE ULIOPITA LANGA AMEFIKISHWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI LEO ASUBUHI AKIWA ANAUMWA MALARIA KALI.HABARI KAMILI TUTAKUTAARIFU.
UJUMBE NA KISA CHA MTANZANIA ALIYEFUNGWA ANGOLA.
Baadhi ya ndugu na marafiki wa Mtanzania aliehukumiwa kifungo cha miaka nane nchini Angola baada ya kupatikana na dawa za kulevya alizokua akizisafirisha kwenda
CHEZEA NGUVU YA UMMA WEWE?WABUNGE KENYA WASALIMU AMRI
Wabunge wa Kenya wamesalimu amri ya madai yao ya kuongezewa mshahara waliyokuwa wameshayapigia kura na kujiwekea posho kubwa zikiwemo gari za kifahari na mafao ya kustaafu, liliripoti shirika la habari la AFP siku ya Jumatano (tarehe 12 Juni).
Mwezi uliopita, wabunge wa Kenya walijipigia kura
HUYU MTENGENEZA MAJENEZA NI NOMA:
Mtu mmoja anayejikimu kwa kutengeneza majeneza ameonesha kipaji cha ajabu sana hebu bofya hapo chini uweze kuona videp yake ni DAKIKA MBILI tu.
MAANDAMANO KENYA YAZIDI KUPINGA WABUNGE KUJIONGEZEA MISHAHARA:
Mashirika yasiyo ya kiserikali yamefanya maandamano mwengine mjini Nirobi Kenya kupinga jaribio la wabunge
Subscribe to:
Posts (Atom)














.jpg)

































